(SCROLL DOWN FOR THE VIDEO)

PART 1
On Thursday, Tunaanza kwa kuwaona wapenzi wa Kaka , Dida na Mila wakiwa kwa gari na Mila anamwambia waende tu wakifika pale anatokea atamshow. Mila anamshow alidhani mtu akiwa na usafiri wake mwenyewe uwa anafika haraka kumbe. Dida anamshow kama hawangepitia pale kuchukua moja mbili wangekuwa wamefika safari haingekuwa ndefu vile. Mila anamuliza kuwa anatumai hakulewa sana lakini Dida anamjibu tu kwa kumwambia who knows?
Back kwa Buya Maria anatengeneza breakfast na Buya anaonekana mwenye fikra mingi sana. Maria anmuambia kuwa hata amekesha akimgonja na everytime anasikia gate anadhani ni yeye. Buba anasema hajui hata kwa nini wanasumbuana wakati huu maana yale yote wamepitia inafaa kuwa imempa fuzo akuwe mtiifu zaidi. Buya anachukua chupa ya pombe na Maria kumuliza kama ni hatua mzuri. Buya anadai hatua mzuri ni yeye ampeleke nje akaote jua lakini kwanza ampe glass na kubungua pombe kiasi.
Dida amemfikisha Mila na Dida anamuliza kama huku kuko safe na Mila anamwambia ni safe lakini kama anaongopa anaeza engesha gari kule ndani. Dida anamwambia Mila kuwa anaona wanaeza kuwa marafiki wazuri na Mila kudai msafara ushawamake marafiki. Mila anadai siku zote ameishi kusikia Dida na leo ameamini kuwa anampenda Kaka maana msafara wote wa kutoka jijini hadi kijijini sababu ya mwanaume si rahisi. Dida anadai ni kweli lakini haimaanishi mwanaume anaweza kuwachezea vile anavyotaka na anadai she won’t allow that. Mila anamwambia she hope hatasau yale wamezungumzia. Dida anamwitisha simu amuekee number ili aweze kumpigia wakati wowote ule na kumwomba asisahu kumtumia message ndio pia yeye apate number yake.
Kijijini, Kaka ndio ako harakati za asubuhi na anakwenda kumwongelesha Sultana. Anadai hajui alilala aje hata bila ya kumjulia hali Sultana. Sultana ako kimya na Kaka hajui amenyamazia nini na akizingatia hali vile ilivyo sahii kunaeza tokea umwangikaji wa damu au lolote kutokea. Anadai yeye ni mpuzi kwa kweli maana ameshika simu na ameshindwa kumpigia nani. Sultana anamshow bila shaka yeye anafikiria hao wakwe zake. Kaka anadai usiku umekuwa mrefu na hajui nini kiliweza tokea kule mtu anaweza piga mwenzake akamuua na kumzika kupoteza ushahidi. Sultana anadai afadhali wangeuana hao sababu hao wote kama wameamua kuungana kuwa maswaiba basi Kaka amingia cha kike hii dunia ataiona moto. Kaka anamdai awache kumtishia.
Maria anampeleka Buya out na wanapatana na Dida ndio Kurudi. Dida anajaribu kumhug babake lakini anamrusha na kumfokea kuwa anatoka na kurudi wakati anajisiki na usiku kucha amekuwa kule nje bila kumjulisha mtu. Dida anadai she can explain lakini Buya anadai angefanya hivo kabla aondoke. Buya anamsuta Dida kwa kutomheshimu mbele ya Maria. Sultana na Kaka bado wazungumza na Sultana anamshow ni afadhali hata hivo akuchangua kati yao maana angedhubutu hapa kungezuka vita na hukuna mwenye angewazuia hata yeye. Kaka anadai awache kumkatamkata matumbo lakini Sultana anamcheka tu akisema alidhani yeye ni barobaro kumbe mwonga. Kaka anauliza ataanza wapi na Sultana anamshow mtaka yote hukosa yote na kumwambia anajua hawezi wapenda wote wawili visawa. Otherwise Sultana anadai yeye anawatafuta JJ naSalama maana alisikia mamake akimshow JJ leo wana siku ndefu sana.
Kwa Meja ndio Fatima anajisikia na kushtuia kuwa Meja hayupo kwa kitanda na alilala kwa kiti. Fatima anamuliza sasa mateso ya nini na kitanda kiko pale na kumuliza sasa hii ndoa itakuwa na maana ngani kama mambo yatakuwa vile. Anamshow yeye hatajali tena bora arengee huko master bedroom. Meja anamshow anajua anaongea hivo kwa ufidguli wake maana anajua hili haliwezekani. Fatima anamuliza lisiwezekane aje na hii nyumba yote ni yake? Meja anamwambia kamani kisarini akonacho atafute pa kupeleka ju kama ni yeye atakizima tu. Fatima hajaamini chenye amesikia
PART 2
Salama na JJ wako matembezi na JJ anamuliza hajui Salama alifikiaria nini akimficha wazazi wake. Anamuliza pia amjajurishe kidongo wazazi wake ni watu wa aina gani. Salama anadai kuwa JJ amekuwa akiuliza hayo maswali na hapati jibu lakini jana aliamua leo watafunga msafara angalau apate jibu ya maswali yake. Kwa Meja, Fatima anamuliza alikesha akifikira nini na Meja anamuliza alijuaje kuhusu Sultana na Fatima anamshow hilo si siri tena maana mke mwenzake pia analifahamu. Meja anashangaa na kumuliza ana maana kumaanisha Ua na Fatima anadai kama akili zake ziko timamu basi pia hata yeye kichwa kimemgonga usiku mzima manake alisikia kabisa Asya akimueleza. Fatima anamuliza kuwa kama ako tayari kumkubali Sultana kama mwamnake kama kweli ni mwanawe. Meja anadai kuwa hajui kama hakuna mzazi yeyote anaweza kataa damu yake haswa akizingatia kuwa ni juzi tu alidhani kuwa miaka ya ulezi wa JJ imepotea bure yeye akiwa hana mtoto wa damu yake mwnyewe na Fatima anamsalp.
Buya naye anauliza Dida alianza nini kuwa kama mamake na kuwa mkaidi kwake vile. Maria anamrai mzae atulie ampe Dida time atajiexplain baadaye. Buya anamuliza ni mara gapi amemuonya aachane na Fatima. Dida anadai she is not after Fatima and she is not going to stay kwa nyumba like a prisoner kwa sababu ya mtu mmoja. Anadai she is so young to be caught in his father’s problems. Dida is worried atapick up life yake tena lini na biashara zake. Anadai pia ile nyumba wamepewa na kuna chakula, nguo na therapy ambazo zinataka pesa hajui ziko wapi. Maria anamshow Dida kuwa ako right lakini aongee vizuri maana yule ni babake. Dida anamshow he will always be his father but who saya parents are perfect they never make mistakes?
Salama alimleta JJ makaburini na JJ anashtuka kwanza. JJ anauliza Salama anadai wamefika aje ama wanajua wanakuja akaamua kumpiga surprise.Salama anadai hakuna mtu mwengine pale zaidi ya wao wawili na walio lala pale. JJ anadai si alimshow walikuja pale kumwonyesha wazazi wake. Salama anadai basi ni hapa tu na ni hapa ndi palizikwa mamake marehemu. JJ anajawa na hasira mingi na kujawa na kilio na kumwambia Salama kuwa anamwoba awache mzaha tafadhali. Salama anamshow anajua kuwa hataamini lakini yeye ni mtu mzima na hawezi kumtania haswa wakiwa pahali kuna wafu. JJ anakaribia kuliona baburi la mamake kisha anachuchumaa pale.
Kwa Buya, Maria anamwambia pole kwa kuingililia mazungumzo yake na babake. Dida anamuliza what is her point exactly na Maria anamshow si fiti kuongelesha wazae vile hata kama wamefanya ngori gani. Maria anamuliza huko ametoka alipiga nani. Nani alianaza na yeye boy ama. Dida anamshow hakukuwa na vita na hata sahii ni mabeshte. Maria anamuliza beshte na nani na kumuliza yaani walimueka pressure yote yeye na babake usiku kucha kwani alikuwa amekwenda kudo. Dida analenga swali na kumuliza amefikia wapi na story ya Fatima? Maria anamshow hata hajui kwa nini anabehave vile na kumshow ukweli basi kama amemurder yule dem washughulikie before mzae ajue. Dida anachukua simu
Salama naye anamwambia JJ amfanye vyovyote anavyotakaΒ lakini anashukuru sababu amefunguka. JJ anamuliza amefunguka nini , na kumuliza mbona walimzika usiku mbila kumhusisha mtu yeyeto na ina maana kuwa kuna kitu walimfanyia mamake ndio maana wakamzika vile sababu kifo cha uchungu wa uzazi hakina hatia yeyote. JJ sasa anadai aambiwe babake ako wapi, wajpmba wake na watu wake awapate wapi. Salama anadai itakuwa ngumu ju wangejua hawangefika pale lakini JJ anadai hakuna mtu hana watu. Salama nadai mamake JJ hakuwa na ukaribu na watu na walijua tu alikuwa muuzaji samaki na kudai labda babake yupo lakini hawamjui. Anamshow kuwa mamake ndio alikuwa ameamia kijijini lakinimwazi hukupita yale yakatokea. Anadai alitamani sana awaone watu wake awaeleze yaliyotokea na kukiri hajawahi kupata usingizi tangu siku hiyo. JJ anabaki akilia lakini tumejua sasa mama JJ ni yeye mama Mila.